Luka 24:46-47

Luka 24:46-47 NMM

Akawaambia, “Haya ndiyo yaliyoandikwa: Al-Masihi atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu. Toba na msamaha wa dhambi zitatangaziwa mataifa yote kupitia jina lake kuanzia Yerusalemu.