1
Mwanzo 12:2-3
Neno
NEN
“Nitakufanya taifa kubwa na nitakubariki, Nitalikuza jina lako, nawe utakuwa baraka. Nitawabariki wale wanaokubariki, na yeyote akulaaniye nitamlaani; na kupitia kwako mataifa yote duniani yatabarikiwa.”
Porovnat
Zkoumat Mwanzo 12:2-3
2
Mwanzo 12:1
BWANA alikuwa amemwambia Abramu, “Ondoka katika nchi yako, uache jamii yako na nyumba ya baba yako, uende hadi nchi nitakayokuonesha.
Zkoumat Mwanzo 12:1
3
Mwanzo 12:4
Hivyo Abramu akaondoka kama BWANA alivyokuwa amemwambia; naye Lutu akaondoka pamoja naye. Abramu alipoitwa aondoke Harani, alikuwa na umri wa miaka sabini na tano.
Zkoumat Mwanzo 12:4
4
Mwanzo 12:7
BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, “Nitawapa uzao wako nchi hii.” Hivyo hapo akamjengea madhabahu BWANA aliyekuwa amemtokea.
Zkoumat Mwanzo 12:7