1
Mwanzo 16:13
Neno
NEN
Hajiri akampa BWANA aliyezungumza naye jina hili: “Wewe ndiwe Mungu unionaye mimi,” kwa maana alisema, “Sasa nimemwona yeye anayeniona mimi.”
Porovnat
Zkoumat Mwanzo 16:13
2
Mwanzo 16:11
Pia malaika wa BWANA akamwambia: “Wewe sasa una mimba nawe utamzaa mwana. Utamwita jina lake Ishmaeli, kwa sababu BWANA amesikia kuhusu huzuni yako.
Zkoumat Mwanzo 16:11
3
Mwanzo 16:12
Atakuwa kama punda-mwitu kati ya wanadamu; mkono wake utakuwa dhidi ya kila mtu, na mkono wa kila mtu utakuwa dhidi yake, naye ataishi kwa uhasama na ndugu zake wote.”
Zkoumat Mwanzo 16:12