1
Mwanzo 18:14
Neno
NEN
Je, kuna jambo lolote gumu lisilowezekana kwa BWANA? Nitakurudia majira kama haya mwaka ujao, naye Sara atakuwa na mwana.”
Porovnat
Zkoumat Mwanzo 18:14
2
Mwanzo 18:12
Hivyo Sara akacheka kimoyomoyo alipokuwa akiwaza, “Baada ya mimi kuwa mkongwe hivi na bwana wangu amezeeka, je, nitaweza kufurahia jambo hili?”
Zkoumat Mwanzo 18:12
3
Mwanzo 18:18
Hakika Abrahamu atakuwa taifa kubwa na lenye nguvu, na kupitia kwake mataifa yote ya dunia yatabarikiwa.
Zkoumat Mwanzo 18:18
4
Mwanzo 18:23-24
Abrahamu akamsogelea, akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu? Je, ikiwa watakuwepo watu hamsini wenye haki katika mji huo, kweli utauangamiza na wala hutauacha kwa ajili ya hao watu hamsini wenye haki waliomo?
Zkoumat Mwanzo 18:23-24
5
Mwanzo 18:26
BWANA akajibu, “Nikipata watu hamsini wenye haki katika mji wa Sodoma, nitauacha huo mji wote kwa ajili yao.”
Zkoumat Mwanzo 18:26