1
Mwanzo 30:22
Neno
NEN
Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake.
Porovnat
Zkoumat Mwanzo 30:22
2
Mwanzo 30:24
Akamwita jina Yusufu, akasema, “BWANA na anipe mwana mwingine.”
Zkoumat Mwanzo 30:24
3
Mwanzo 30:23
Akapata mimba na akamzaa mwana; akasema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”
Zkoumat Mwanzo 30:23