1
Mwanzo 35:11-12
Neno
NEN
Mungu akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi; ukazae na kuongezeka. Taifa na jamii ya mataifa itatoka kwako, nao wafalme watatoka viunoni mwako. Nchi niliyowapa Abrahamu na Isaka nakupa wewe pia, nami nitawapa wazao wako baada yako.”
Porovnat
Zkoumat Mwanzo 35:11-12
2
Mwanzo 35:3
Kisha njooni, twende Betheli, mahali nitakapomjengea Mungu madhabahu, aliyenijibu katika siku ya shida yangu, ambaye amekuwa pamoja nami popote nilipoenda.”
Zkoumat Mwanzo 35:3
3
Mwanzo 35:10
Mungu akamwambia, “Jina lako ni Yakobo. Lakini hutaitwa tena Yakobo; jina lako litakuwa Israeli.” Kwa hiyo akamwita Israeli.
Zkoumat Mwanzo 35:10
4
Mwanzo 35:2
Hivyo Yakobo akawaambia watu wa nyumbani mwake pamoja na wote waliokuwa naye, “Iondoeni miungu ya kigeni mliyo nayo, mjitakase na mkabadilishe nguo zenu.
Zkoumat Mwanzo 35:2
5
Mwanzo 35:1
Kisha Mungu akamwambia Yakobo, “Panda uende Betheli ukakae huko. Ukamjengee Mungu madhabahu huko, Yeye aliyekutokea ulipokuwa unamkimbia Esau ndugu yako.”
Zkoumat Mwanzo 35:1
6
Mwanzo 35:18
Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe jina Benoni. Lakini babaye akamwita jina Benyamini.
Zkoumat Mwanzo 35:18