1
Yohana MT. 16:33
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Haya nimewaambieni, mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mtapata shidda: lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
Porovnat
Zkoumat Yohana MT. 16:33
2
Yohana MT. 16:13
Lakini ajapo yeye, Roho ya kweli, atawaongozeni katika yote iliyo kweli: kwa maana hatasema kwa shauri lake yeye, lakini yote atakayosikia, atayasema, na mambo yajayo atawapasha khabari yake.
Zkoumat Yohana MT. 16:13
3
Yohana MT. 16:24
Mpaka leo hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, na mtapata, furaha yenu iwe timilifu.
Zkoumat Yohana MT. 16:24
4
Yohana MT. 16:7-8
Lakini mimi nawaambieni iliyo kweli; Yawafaa ninyi mimi niondoke: kwa maana nisipoondoka, Mfariji hatakuja kwenu; bali nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Na akiisha kuja yeye, atauhakikisha ulimwengu kwa khabari ya dhambi, na haki, na hukumu
Zkoumat Yohana MT. 16:7-8
5
Yohana MT. 16:22-23
Bassi na ninyi sasa hivi mna huzuni; lakini nitawaona tena, na moyo wenu utafurahi, na furaha yenu hakuna awaondoleae. Na siku ile hamtaniuliza neno. Amin, amin, nawaambieni, Mkimwomba Baba neno kwa jina langu atawapeni.
Zkoumat Yohana MT. 16:22-23
6
Yohana MT. 16:20
Amin, amin, nawaambieni, Ninyi mtalia, na kuomboleza, bali, ulimwengu utafurahi: ninyi mtahuzunishwa, lakini huzuni yenu itageuka kuwa furaha
Zkoumat Yohana MT. 16:20
Domů
Bible
Plány
Videa