1
Mwanzo 7:1
Neno: Maandiko Matakatifu
Ndipo BWANA akamwambia Nuhu, “Ingia katika safina wewe na jamaa yako yote, kwa sababu katika kizazi hiki nimeona ya kuwa wewe ni mwenye haki.
Porovnat
Zkoumat Mwanzo 7:1
2
Mwanzo 7:24
Maji yakaifunika dunia kwa siku 150.
Zkoumat Mwanzo 7:24
3
Mwanzo 7:11
Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili mwaka wa 600 wa kuishi kwake Nuhu, siku hiyo ndipo chemchemi zote hata zilizo chini sana ya ardhi zilibubujika kwa nguvu, na malango ya mafuriko ya mbinguni yakafunguliwa.
Zkoumat Mwanzo 7:11
4
Mwanzo 7:23
Kila kitu chenye uhai juu ya uso wa nchi kilifutiliwa mbali, watu, wanyama, viumbe vitambaavyo na ndege warukao angani wakafutiliwa mbali toka duniani. Waliobaki ni Nuhu peke yake na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina.
Zkoumat Mwanzo 7:23
5
Mwanzo 7:12
Mvua ikanyesha juu ya nchi siku arobaini usiku na mchana.
Zkoumat Mwanzo 7:12
Domů
Bible
Plány
Videa