Logo YouVersion
Ikona vyhledávání

Mwanzo 28:20-22

Mwanzo 28:20-22 NEN

Kisha Yakobo akaweka nadhiri, akisema, “Mungu akiwa pamoja nami na kunilinda katika safari hii, akinipa chakula nile na nguo nivae, na nirudi salama nyumbani mwa baba yangu, hapo ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu. Nalo jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu, na katika yote utakayonipa nitakutolea sehemu ya kumi.”