1
Mwanzo 15:6
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Abramu akamwamini Mwenyezi Mungu, naye kwake jambo hili likahesabiwa kuwa haki.
Σύγκριση
Διαβάστε Mwanzo 15:6
2
Mwanzo 15:1
Baada ya jambo hili, neno la Mwenyezi Mungu likamjia Abramu katika maono, akaambiwa: “Usiogope, Abramu. Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana.”
Διαβάστε Mwanzo 15:1
3
Mwanzo 15:5
Akamtoa nje na kusema, “Tazama juu mbinguni na uhesabu nyota, kama hakika utaweza kuzihesabu.” Ndipo akamwambia, “Hivyo ndivyo uzao wako utakavyokuwa.”
Διαβάστε Mwanzo 15:5
4
Mwanzo 15:4
Ndipo neno la Mwenyezi Mungu lilipomjia, likanena: “Mtu huyu hatakuwa mrithi wako, bali mwana atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.”
Διαβάστε Mwanzo 15:4
5
Mwanzo 15:13
Kisha Mwenyezi Mungu akamwambia, “Ujue hakika kwamba wazao wako watakuwa wageni katika nchi isiyo yao, nao watafanywa watumwa na kuteswa kwa miaka mia nne.
Διαβάστε Mwanzo 15:13
6
Mwanzo 15:2
Lakini Abramu akasema, “Ee Bwana Mungu Mwenyezi, utanipa nini na mimi sina mtoto, na atakayerithi nyumba yangu ni huyu Eliezeri Mdameski?”
Διαβάστε Mwanzo 15:2
7
Mwanzo 15:18
Siku hiyo Mwenyezi Mungu akafanya agano na Abramu, na kumwambia, “Nitawapa wazao wako nchi hii, kuanzia Kijito cha Misri hadi mto ule mkubwa, Frati
Διαβάστε Mwanzo 15:18
8
Mwanzo 15:16
Katika kizazi cha nne wazao wako watarudi hapa, kwa maana uovu wa Waamori bado haujafikia kipimo.”
Διαβάστε Mwanzo 15:16
Αρχική
Αγία Γραφή
Σχέδια
Βίντεο