1
Mwanzo 22:14
Biblia Habari Njema
Kwa hiyo, Abrahamu akapaita mahali hapo, “Mwenyezi-Mungu hujalia.” Kama isemwavyo hata leo, “Katika mlima wa Mwenyezi-Mungu, watu hujaliwa.”
Σύγκριση
Διαβάστε Mwanzo 22:14
2
Mwanzo 22:2
Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuonesha.”
Διαβάστε Mwanzo 22:2
3
Mwanzo 22:12
Malaika akamwambia, “Usimdhuru mtoto wala usimfanye lolote! Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu, kwani hukuninyima hata mwanao wa pekee.”
Διαβάστε Mwanzo 22:12
4
Mwanzo 22:8
Abrahamu akamjibu, “Mwanangu, Mungu mwenyewe atatujalia mwanakondoo wa sadaka ya kuteketezwa.” Basi, wakaendelea na safari yao.
Διαβάστε Mwanzo 22:8
5
Mwanzo 22:17-18
hakika nitakubariki, na wazawa wako nitawazidisha kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ufuoni mwa bahari. Wazawa wako wataimiliki miji ya adui zao. Kutokana na wazawa wako mataifa yote duniani yatabarikiwa kwa sababu wewe umeitii amri yangu.”
Διαβάστε Mwanzo 22:17-18
6
Mwanzo 22:1
Baada ya muda fulani, Mungu alimjaribu Abrahamu. Mungu alimwita, “Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam nasikiliza.”
Διαβάστε Mwanzo 22:1
7
Mwanzo 22:11
Lakini malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita kutoka mbinguni, “Abrahamu! Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam, nasikiliza!”
Διαβάστε Mwanzo 22:11
8
Mwanzo 22:15-16
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni, akamwambia, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeapa kwa nafsi yangu kwamba kwa kuwa umefanya hivi, wala hukuninyima mwanao wa pekee
Διαβάστε Mwanzo 22:15-16
9
Mwanzo 22:9
Walipofika mahali ambapo Mungu alimwagiza, Abrahamu akajenga madhabahu na kupanga kuni juu yake. Kisha akamfunga Isaka mwanawe na kumlaza juu ya kuni juu ya madhabahu.
Διαβάστε Mwanzo 22:9
Αρχική
Αγία Γραφή
Σχέδια
Βίντεο