1
Mwanzo 15:6
Neno: Maandiko Matakatifu
Abramu akamwamini BWANA, naye kwake hili likahesabiwa kuwa haki.
Compare
Explore Mwanzo 15:6
2
Mwanzo 15:1
Baada ya jambo hili, neno la BWANA likamjia Abramu katika maono: “Usiogope, Abramu. Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana.”
Explore Mwanzo 15:1
3
Mwanzo 15:5
Akamtoa nje na kusema, “Tazama juu kuelekea mbinguni na uhesabu nyota, kama hakika utaweza kuzihesabu.” Ndipo akamwambia, “Hivyo ndivyo uzao wako utakavyokuwa.”
Explore Mwanzo 15:5
4
Mwanzo 15:4
Ndipo neno la BWANA lilipomjia: “Mtu huyu hatakuwa mrithi wako, bali mwana atakayetoka katika viuno vyako mwenyewe ndiye atakayekuwa mrithi wako.”
Explore Mwanzo 15:4
5
Mwanzo 15:13
Kisha BWANA akamwambia, “Ujue hakika kwamba wazao wako watakuwa wageni kwenye nchi ambayo si yao, nao watafanywa watumwa na kuteswa kwa miaka mia nne.
Explore Mwanzo 15:13
6
Mwanzo 15:2
Lakini Abramu akasema, “Ee BWANA Mwenyezi, utanipa nini na mimi sina hata mtoto na atakayerithi nyumba yangu ni huyu Eliezeri Mdameski?”
Explore Mwanzo 15:2
7
Mwanzo 15:18
Siku hiyo BWANA akafanya Agano na Abramu, na kumwambia, “Nitawapa wazao wako nchi hii, kuanzia Kijito cha Misri hadi mto ule mkubwa, Frati
Explore Mwanzo 15:18
8
Mwanzo 15:16
Katika kizazi cha nne wazao wako watarudi hapa, kwa maana dhambi ya Waamori bado haijafikia kipimo kilichojaa.”
Explore Mwanzo 15:16
Home
Bible
Plans
Videos