1
Mathayo 14:30-31
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Lakini Petro alipokuwa anatembea juu ya maji, aliyaona mawimbi na upepo. Aliogopa na kuanza kuzama katika maji. Akapiga kelele, “Bwana, niokoe!” Haraka Yesu akamshika Petro kwa mkono wake. Akasema, “Imani yako ni ndogo. Kwa nini ulisita?”
Vertaa
Tutki Mathayo 14:30-31
2
Mathayo 14:30
Lakini Petro alipokuwa anatembea juu ya maji, aliyaona mawimbi na upepo. Aliogopa na kuanza kuzama katika maji. Akapiga kelele, “Bwana, niokoe!”
Tutki Mathayo 14:30
3
Mathayo 14:27
Lakini haraka Yesu akawaambia, “Msihofu! Ni mimi! Msiogope.”
Tutki Mathayo 14:27
4
Mathayo 14:28-29
Petro akasema, “Bwana, ikiwa hakika ni wewe, niambie nije kwako juu ya maji.” Yesu akasema, “Njoo, Petro.” Kisha Petro akauacha mtumbwi na kutembea juu ya maji kumwelekea Yesu.
Tutki Mathayo 14:28-29
5
Mathayo 14:33
Kisha wafuasi wakamwabudu Yesu na kusema, “Hakika wewe ni Mwana wa Mungu.”
Tutki Mathayo 14:33
6
Mathayo 14:16-17
Yesu akasema, “Watu hawahitaji kuondoka. Wapeni ninyi chakula wale.” Wafuasi wakajibu, “Lakini tuna mikate mitano na samaki wawili tu.”
Tutki Mathayo 14:16-17
7
Mathayo 14:18-19
Yesu akasema, “Leteni kwangu mikate na samaki.” Kisha akawaambia watu waketi chini kwenye nyasi. Akaichukua mikate mitano na samaki wawili. Akatazama mbinguni na akamshukuru Mungu kwa ajili ya chakula. Kisha akaivunja mikate katika vipande, akawapa wafuasi wake nao wakawapa watu chakula.
Tutki Mathayo 14:18-19
8
Mathayo 14:20
Kila mmoja alikula mpaka akashiba. Walipomaliza kula, wafuasi walijaza vikapu kumi na mbili vya vipande vilivyosalia.
Tutki Mathayo 14:20
Koti
Raamattu
Suunnitelmat
Videot