1
Yohana 5:24
Biblica® Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Amin, amin nawaambia, yeyote anayesikia maneno yangu na kumwamini yeye aliyenituma anao uzima wa milele, naye hatahukumiwa, bali amepita kutoka mautini na kuingia uzimani.
Vertaa
Tutki Yohana 5:24
2
Yohana 5:6
Isa alipomwona akiwa amelala hapo, na akijua amekuwa katika hali hiyo kwa muda mrefu, akamwambia, “Je, wataka kuponywa?”
Tutki Yohana 5:6
3
Yohana 5:39-40
Ninyi mnachunguza Maandiko mkidhani ya kuwa ndani yake mna uzima wa milele. Maandiko haya ndio yanayonishuhudia mimi. Lakini mnakataa kuja kwangu ili mpate uzima.
Tutki Yohana 5:39-40
4
Yohana 5:8-9
Isa akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.” Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea. Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.
Tutki Yohana 5:8-9
5
Yohana 5:19
Isa akawaambia, “Amin, amin nawaambia, Mwana hawezi kufanya jambo lolote peke yake. Yeye aweza tu kufanya lile analomwona Baba yake akifanya, kwa maana lolote afanyalo Baba, Mwana pia hufanya vivyo hivyo.
Tutki Yohana 5:19
Koti
Raamattu
Suunnitelmat
Videot