1
Mwanzo 13:15
Neno: Bibilia Takatifu
Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele.
השווה
חקרו Mwanzo 13:15
2
Mwanzo 13:14
Baada ya Loti kuondoka BWANA akamwambia Abramu, “Ukiwa hapo ulipo, inua macho yako utazame kaskazini na kusini, mashariki na magharibi.
חקרו Mwanzo 13:14
3
Mwanzo 13:16
Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo kama kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika.
חקרו Mwanzo 13:16
4
Mwanzo 13:8
Hivyo Abramu akamwambia Loti, “Pasiwe na ugomvi wowote kati yangu na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wako, kwa kuwa sisi ni ndugu.
חקרו Mwanzo 13:8
5
Mwanzo 13:18
Basi Abramu akaondoa mahema yake, akaenda kuishi karibu na mialoni ya Mamre huko Hebroni, huko akamjengea BWANA madhabahu.
חקרו Mwanzo 13:18
6
Mwanzo 13:10
Loti akatazama akaona lile bonde lote la Yordani kuwa lilikuwa na maji tele, kama bustani ya BWANA, kama nchi ya Misri, kuelekea Soari. (Hii ilikuwa kabla BWANA hajaharibu Sodoma na Gomora.)
חקרו Mwanzo 13:10
בית
כתבי הקודש
תכניות
קטעי וידאו