1
Yohana 20:21-22
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Isa akawaambia tena, “Amani iwe nanyi! Kama vile Baba alivyonituma mimi, nami nawatuma ninyi.” Alipokwisha kusema haya, akawavuvia, akawaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu wa Mungu.
השווה
חקרו Yohana 20:21-22
2
Yohana 20:29
Isa akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.”
חקרו Yohana 20:29
3
Yohana 20:27-28
Kisha akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa na uone mikono yangu, nyoosha mkono wako uguse ubavuni mwangu. Usiwe na shaka, bali uamini tu.” Tomaso akamwambia, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
חקרו Yohana 20:27-28
בית
כתבי הקודש
תוכניות
קטעי וידאו