1
Yohana 9:4
Neno: Bibilia Takatifu
Yanipasa kuzifanya kazi zake yeye aliyenituma wakati bado ni mchana, kwa kuwa usiku waja ambapo hakuna mtu awezaye kufanya kazi.
השווה
חקרו Yohana 9:4
2
Yohana 9:5
Wakati niko ulimwenguni, mimi ni nuru ya ulimwengu.”
חקרו Yohana 9:5
3
Yohana 9:2-3
Wanafunzi wake wakamuuliza, “Rabi, ni nani aliyetenda dhambi, ni huyu mtu au wazazi wake hata azaliwe kipofu?” Yesu akawajibu, “Huyu mtu wala wazazi wake hawakutenda dhambi. Alizaliwa kipofu ili kazi za Mungu zidhihirishwe katika maisha yake.
חקרו Yohana 9:2-3
4
Yohana 9:39
Yesu akasema, “Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu.”
חקרו Yohana 9:39
בית
כתבי הקודש
תכניות
קטעי וידאו