Luka 8:47-48
Luka 8:47-48 NMM
Yule mwanamke alipofahamu ya kuwa hawezi kuendelea kujificha, alikuja akitetemeka, akaanguka miguuni mwa Isa. Akaeleza mbele ya watu wote kwa nini alimgusa na jinsi alivyoponywa mara. Basi Isa akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani.”