1
Yohana 20:21-22
Neno: Maandiko Matakatifu
Isa akawaambia tena, “Amani iwe nanyi! Kama vile Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawatuma ninyi.” Naye alipokwisha kusema haya, akawavuvia, akawaambia, “Pokeeni Roho wa Mwenyezi Mungu.
Összehasonlít
Fedezd fel: Yohana 20:21-22
2
Yohana 20:29
Isa akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.”
Fedezd fel: Yohana 20:29
3
Yohana 20:27-28
Kisha akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa na uone mikono yangu, nyoosha mkono wako uguse ubavuni mwangu. Usiwe na shaka, bali uamini tu.” Tomaso akamwambia, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Fedezd fel: Yohana 20:27-28
Kezdőoldal
Biblia
Olvasótervek
Videók