1
Mattayo MT. 10:16
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Angalieni, mimi nawatumeni kama kondoo kati ya mbwa wa mwitu: bassi mwe na busara kama nyoka, na msio na dhara kama hua.
Bandingkan
Telusuri Mattayo MT. 10:16
2
Mattayo MT. 10:39
Anaeipata roho yake ataiangamiza; nae anaeitoa roho yake kwa ajili yangu ataipata.
Telusuri Mattayo MT. 10:39
3
Mattayo MT. 10:28
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho: afadhali mmwogopeni yule awezae kuangamiza mwili na roho pia katika jehannum.
Telusuri Mattayo MT. 10:28
4
Mattayo MT. 10:38
Nae asiyechukua msalaba wake na kufuata nyuma yangu, hanifai.
Telusuri Mattayo MT. 10:38
5
Mattayo MT. 10:32-33
Bassi killa mtu atakaenikiri mbele ya watu, nami nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye mbinguni. Bali mtu ye yote atakaenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.
Telusuri Mattayo MT. 10:32-33
6
Mattayo MT. 10:8
Ponyeni wagonjwa, takaseni wenye ukoma, fufueni wafu, fukuzeni pepo; mmepata burre, toeni burre.
Telusuri Mattayo MT. 10:8
7
Mattayo MT. 10:31
Msiogope bassi; hora ninyi kuliko videge vingi.
Telusuri Mattayo MT. 10:31
8
Mattayo MT. 10:34
Msidhani ya kuwa nalikuja kueneza amani duniani; la! sikuja kueneza amani, bali upanga.
Telusuri Mattayo MT. 10:34
Beranda
Alkitab
Rencana
Video