1
Mwa 5:24
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Henoko akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, maana Mungu alimtwaa.
比較
Mwa 5:24で検索
2
Mwa 5:22
Henoko akaenda pamoja na Mungu baada ya kumzaa Methusela miaka mia tatu, akazaa wana, waume na wake.
Mwa 5:22で検索
3
Mwa 5:1
Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya
Mwa 5:1で検索
4
Mwa 5:2
mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
Mwa 5:2で検索
ホーム
聖書
読書プラン
ビデオ