1
Yohana 8:12
Swahili Revised Union Version
Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
비교
Yohana 8:12 살펴보기
2
Yohana 8:32
tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.
Yohana 8:32 살펴보기
3
Yohana 8:31
Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli
Yohana 8:31 살펴보기
4
Yohana 8:36
Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.
Yohana 8:36 살펴보기
5
Yohana 8:7
Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
Yohana 8:7 살펴보기
6
Yohana 8:34
Yesu akawajibu, Amin, amin, nawaambia, Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi.
Yohana 8:34 살펴보기
7
Yohana 8:10-11
Yesu akainuka asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia? Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Nenda zako; wala usitende dhambi tena.]
Yohana 8:10-11 살펴보기
홈
성경
묵상
동영상