1
Mattayo MT. 14:30-31
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Lakini alipoona upepo wa nguvu, akaogopa: akaanza kuzama, akapiga yowe, akinena, Bwana, niokoe. Marra Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?
비교
Mattayo MT. 14:30-31 살펴보기
2
Mattayo MT. 14:30
Lakini alipoona upepo wa nguvu, akaogopa: akaanza kuzama, akapiga yowe, akinena, Bwana, niokoe.
Mattayo MT. 14:30 살펴보기
3
Mattayo MT. 14:27
Marra Yesu akasema nao, akinena, Jipeni moyo; ni mimi; msiogope.
Mattayo MT. 14:27 살펴보기
4
Mattayo MT. 14:28-29
Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji. Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akatembea juu ya maji, illi kumwendea Yesu.
Mattayo MT. 14:28-29 살펴보기
5
Mattayo MT. 14:33
Nao waliokuwa ndani ya chombo wakamwendea, wakamsujudia, wakinena, Hakika wewe u Mwana wa Mungu.
Mattayo MT. 14:33 살펴보기
6
Mattayo MT. 14:16-17
Yesu akawaambia, Hawana haja kwenda zao, wapeni ninyi kula. Wakamwambia, Hatuna kitu hapa illa mikate mitano na samaki mbili.
Mattayo MT. 14:16-17 살펴보기
7
Mattayo MT. 14:18-19
Akasema, Nileteeni vitu vile hapa. Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na zile samaki mbili, akatazama juu mbinguni, akabariki, akamega, akawapa wanafunzi ile mikate, wanafunzi wakawapa makutano.
Mattayo MT. 14:18-19 살펴보기
8
Mattayo MT. 14:20
Wakala wote wakashiba: wakayaokota masazo ya vipande vya mikate, vikapu thenashara, vimejaa.
Mattayo MT. 14:20 살펴보기
홈
성경
묵상
동영상