1
Mwanzo 5:24
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Idrisi akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.
Bandingkan
Selidiki Mwanzo 5:24
2
Mwanzo 5:22
Baada ya kumzaa Methusela, Idrisi alitembea na Mungu miaka mia tatu, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Selidiki Mwanzo 5:22
3
Mwanzo 5:1
Hii ni orodha iliyoandikwa ya vizazi vya Adamu. Mungu alipomuumba mwanadamu, alimfanya kwa sura ya Mungu.
Selidiki Mwanzo 5:1
4
Mwanzo 5:2
Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa, akawaita “Binadamu.”
Selidiki Mwanzo 5:2
Halaman Utama
Alkitab
Pelan
Video