1
Mattayo MT. 8:26
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Akawaambia, Mbona mu waoga, enyi wa imani haba? Marra akaondoka, akazikemea pepo na bahari; kukawa shwari kuu.
Vergelijk
Ontdek Mattayo MT. 8:26
2
Mattayo MT. 8:8
Akida akamjibu, akasema, Si stahili yangu wewe uingie chini ya dari yangu: lakini sema neno tu, na mtumishi wangu atapona.
Ontdek Mattayo MT. 8:8
3
Mattayo MT. 8:10
Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.
Ontdek Mattayo MT. 8:10
4
Mattayo MT. 8:13
Yesu akamwambia akida, Nenda zako: na kadiri ulivyoamini upate. Mtumishi wake akapona saa ileile.
Ontdek Mattayo MT. 8:13
5
Mattayo MT. 8:27
Wale watu wakastaajabu, wakinena. Huyo ni mtu wa namna gani hatta pepo na bahari zamtii?
Ontdek Mattayo MT. 8:27
Thuisscherm
Bijbel
Leesplannen
Video's