1
Mwa 4:7
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.
Sammenlign
Utforsk Mwa 4:7
2
Mwa 4:26
Sethi naye akazaa mwana; akamwita jina lake Enoshi. Hapo ndipo watu walipoanza kuliitia Jina la BWANA.
Utforsk Mwa 4:26
3
Mwa 4:9
BWANA akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
Utforsk Mwa 4:9
4
Mwa 4:10
Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.
Utforsk Mwa 4:10
5
Mwa 4:15
BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.
Utforsk Mwa 4:15
Hjem
Bibel
Leseplaner
Videoer