1
1 Mose 12:2-3
Swahili Roehl Bible 1937
Nitakufanya kuwa taifa kubwa, nitakubariki na kulikuza jina lako, uwe mbaraka. Nitawabariki watakaokubariki, naye atakayekuapiza nitamwapiza. Mwako ndimo, koo zote za nchini zitakamobarikiwa.
Porównaj
Przeglądaj 1 Mose 12:2-3
2
1 Mose 12:1
Bwana akamwambia Aburamu: Toka katika nchi yako kwenye ndugu zako namo nyumbani mwa baba yako, uende katika nchi, nitakayokuonyesha!
Przeglądaj 1 Mose 12:1
3
1 Mose 12:4
Ndipo, Aburamu alipoondoka, kama Bwana alivyomwambia, naye Loti akaenda naye. Naye Aburamu alikuwa mwenye miaka 75 alipotoka Harani.
Przeglądaj 1 Mose 12:4
4
1 Mose 12:7
Huko Bwana akamtokea Aburamu, akamwambia: Nchi hii nitawapa wao wa uzao wako! Ndipo, alipomjengea Bwana pa kumtambikia, kwa kuwa alimtokea hapo.
Przeglądaj 1 Mose 12:7
Strona główna
Biblia
Plany
Nagrania wideo