1
1 Mose 15:6
Swahili Roehl Bible 1937
Naye akamtegemea Bwana, kwa hiyo akamwazia kuwa mwenye wongofu.
Porównaj
Przeglądaj 1 Mose 15:6
2
1 Mose 15:1
Mambo hayo yalipomalizika neno la Bwana likamjia Aburamu katika ndoto kwamba: Usiogope Aburamu! Mimi ni ngao yako, nao mshahara wako ni mwingi.
Przeglądaj 1 Mose 15:1
3
1 Mose 15:5
Kisha akamtoa nje, akamwambia: Tazama juu mbinguni, uzihesabu nyota, kama unaweza kuzihesabu! Akamwambia: Hivi ndivyo, wao wa uzao wako watakavyokuwa wengi.
Przeglądaj 1 Mose 15:5
4
1 Mose 15:4
Ndipo, neno la Bwama lilipomjia tena kwamba: Huyu hatazichukua mali zako; ila atakyetoka mwilini mwako ndiye atakayezichukua mali zako.
Przeglądaj 1 Mose 15:4
5
1 Mose 15:13
Ndipo, Bwana alipomwambia Aburamu: Na ujue kabisa, ya kuwa wao wa uzao wako watakaa ugenini katika nchi isiyo yao, nao watawatumikia wenyeji, hao watawatesa miaka 400.
Przeglądaj 1 Mose 15:13
6
1 Mose 15:2
Aburamu akasema: Bwana Mungu, utanipa nini? Mimi ninajikalia pasipo mwana. Mwenye mali zilizomo nyumbani mwangu atakuwa huyu Eliezeri wa Damasko.
Przeglądaj 1 Mose 15:2
7
1 Mose 15:18
Hivyo ndivyo, Bwana alivyofanya siku hiyo maagano na Aburamu kwamba: Nchi hii nitwapa wao wa uzao wako toka lile jito la Misri mpaka lile jito kubwa, lile jito la Furati
Przeglądaj 1 Mose 15:18
8
1 Mose 15:16
Nao watakaokuwa wa kizazi cha nne watarudi huku, kwa kuwa uovu wa Waamori haujatimia bado mpaka sasa.
Przeglądaj 1 Mose 15:16
Strona główna
Biblia
Plany
Nagrania wideo