1
Mattayo MT. 14:30-31
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Lakini alipoona upepo wa nguvu, akaogopa: akaanza kuzama, akapiga yowe, akinena, Bwana, niokoe. Marra Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?
Krahaso
Eksploroni Mattayo MT. 14:30-31
2
Mattayo MT. 14:30
Lakini alipoona upepo wa nguvu, akaogopa: akaanza kuzama, akapiga yowe, akinena, Bwana, niokoe.
Eksploroni Mattayo MT. 14:30
3
Mattayo MT. 14:27
Marra Yesu akasema nao, akinena, Jipeni moyo; ni mimi; msiogope.
Eksploroni Mattayo MT. 14:27
4
Mattayo MT. 14:28-29
Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji. Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akatembea juu ya maji, illi kumwendea Yesu.
Eksploroni Mattayo MT. 14:28-29
5
Mattayo MT. 14:33
Nao waliokuwa ndani ya chombo wakamwendea, wakamsujudia, wakinena, Hakika wewe u Mwana wa Mungu.
Eksploroni Mattayo MT. 14:33
6
Mattayo MT. 14:16-17
Yesu akawaambia, Hawana haja kwenda zao, wapeni ninyi kula. Wakamwambia, Hatuna kitu hapa illa mikate mitano na samaki mbili.
Eksploroni Mattayo MT. 14:16-17
7
Mattayo MT. 14:18-19
Akasema, Nileteeni vitu vile hapa. Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na zile samaki mbili, akatazama juu mbinguni, akabariki, akamega, akawapa wanafunzi ile mikate, wanafunzi wakawapa makutano.
Eksploroni Mattayo MT. 14:18-19
8
Mattayo MT. 14:20
Wakala wote wakashiba: wakayaokota masazo ya vipande vya mikate, vikapu thenashara, vimejaa.
Eksploroni Mattayo MT. 14:20
YouVersion përdor cookie për të personalizuar përvojën tuaj. Duke përdorur faqen tonë të internetit, ju pranoni përdorimin tonë të cookies siç përshkruhet në Politikën tonë të Privatësisë
Kreu
Bibla
Plane
Video