YouVersion logo
Dugme za pretraživanje

1 Mose 1:26-27

1 Mose 1:26-27 SRB37

Kisha Mungu akasema: na tufanye mtu kwa mfano wetu, afanane na sisi, awatawale samaki wa baharini na ndege wa angani na nyama na nchi yote nzima na wadudu wote watambaao katika nchi! Mungu akamwumba mtu kwa mfano wake, mfano wake Mungu ndio, aliomwumbia, akamwumba kuwa mume na mke.