1
Mattayo MT. 25:40
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Na mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambieni. Kadiri mlivyomtendea mmojawapo katika hawo ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.
Jämför
Utforska Mattayo MT. 25:40
2
Mattayo MT. 25:21
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumishi mwema, na amini: ulikuwa amini kwa machache, nitakuweka juu ya mengi: ingia katika furaha ya bwana wako.
Utforska Mattayo MT. 25:21
3
Mattayo MT. 25:29
Kwa maana killa aliye na mali atapewa, na kuongezewa: nae asiye nayo, hatta ile aliyo nayo atanyangʼanywa.
Utforska Mattayo MT. 25:29
4
Mattayo MT. 25:13
Bassi kesheni, maana hamwijui siku wala saa ajapo Mwana wa Adamu.
Utforska Mattayo MT. 25:13
5
Mattayo MT. 25:35
kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkaninywesha; nalikuwa mgeni, mkanikaribisha
Utforska Mattayo MT. 25:35
6
Mattayo MT. 25:23
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumishi mwema na amini: ulikuwa amini kwa machache, nitakuweka juu ya mengi: ingia katika furaha ya bwana wako.
Utforska Mattayo MT. 25:23
7
Mattayo MT. 25:36
nalikuwa uchi, mkanivika; nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia.
Utforska Mattayo MT. 25:36
Hem
Bibeln
Läsplaner
Videor