Mattayo MT. 24:9-11

Mattayo MT. 24:9-11 SWZZB1921

Wakati huo watawasaliti ninyi mpate kuteswa, na watawaua; na mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa vote kwa ajili ya jina langu. Ndipo wengi watajikwaa, na watasalitiana, na kuchukiana. Na manabii wengi wa uwongo wataondoka, watadanganya wengi.