← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Nya 29:12
Faraja Ya Majaliwa Ya Mungu
Siku 3
Maisha yana namna ya kukufanya ujisikie kana kwamba umesahaulika. Iwe ni wakati maisha yanapoanza kugeuka kuwa mabaya au wakati mambo yanaonekana hayaendi sawa, Mungu ana mpango na wewe. Katika mpango huu wa siku 3, Tony Evans anafundisha jinsi Mungu anavyodhibiti kila kitu, haijalishi kinaonekana kibaya kiasi gani.