← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Nya 7:16

Soma Biblia Kila Siku 08/2026
31 Siku
Karibu katika mpango huu wa Soma Biblia Kila Siku mwezi wa Agosti. Utasoma kitabu cha 2 Nyakati na Wafilipi. Utapata pia maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa na kutafakari Neno ulilosoma. Isipokuwa imeandikwa vinginevyo, nukuu zote za Biblia katika mpango huu zimechukuliwa kutoka katika Swahili Union Version (SUV).