← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 13:1

Nuru
5 Siku
Yesu anatueleza katika Agizo Kuu kwamba tunapaswa kwenda na kufanya wanafunzi wa mataifa yote. Lakini mfuasi wa Yesu hufanya wanafunzi vipi? Mpango huu wa usomaji unatoa mfumo wa kibiblia wa jinsi waumini wanavyofundisha wengine kutii kila kitu Yesu alichoamuru, katika kutembea kwao binafsi na Yeye na pamoja na jamii ya waumini.
