← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 17:16
Kueneza Habari Za Yesu Katika Mwaka Wa
5 Siku
Mwito wa kila Mkristo ni kueneza habari za Yesu zenye uwezo wa kubadilisha maisha na jinsi Yesu anavyoweza kumbadilisha kila mtu kikamilifu. Mpango huu wa siku tano unatoa mwongozo halisi kuhusu jinsi unavyoweza kuitikia mwito huu kila siku na uone Yesu akibadili maisha ya walio karibu nawe wanaohitaji kumfahamu.