Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kol 3:5

Ngono
Siku 7
Ngono iko kila mahali. Na inaweza kuwa rahisi kuanguka katika mtego wa punyeto, tamaa, na uchafu wa kingono. Mungu anatutarajia tukubaki wasafi, kutegemea Roho wake na kuendeleza udhibiti wa kujitegemea. Hii mpango wa siku saba inaweza kukuanzisha kwenye njia ya usafi na kuishi kaitka kiwango Mungu ameweka mbele yetu. Kupata mtu unayemwamini na kwenda kwa njia ya vifungu hivi pamoja, kwa sababu uwajibikaji ni muhimu inapokuja kwenye suala la uadilifu wa kijinsia.

Mpango Bora wa Kusoma
Siku 28
unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.
