← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 50:20
Mateso
Siku 4
Mateso ni muhimu katika imani ya mkristu 2 Timothy 3:12 Njia ya kukabiliana na mateso kwa njia ya Kikristu huboreka kwa kutafakari neno la Mungu Mistari yafuatayo ukiyakukariri, yatakusaidia kukabiliana na mateso kataika maisha yako. Wacha maisha yako ibadilike kwa kukariri neno la Mungu. Kwa maagizo ya kukariri Bibilia, fuata http://www.MemLok.com
Soma Biblia Kila Siku Novemba/2022
Siku 30
Soma Biblia Kila Siku Novemba/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Novemba pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Mwanzo na Zaburi. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure