← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 44:3

Kuishi kwa Roho: Ibada Pamoja na John Piper
Siku 7
Masomo 7 ya Ibada kutoka kwa John Piper kuhusu Roho Mtakatifu

Soma Biblia Kila Siku 2 - 2026
28 Siku
Karibu katika mpango huu wa Soma Biblia Kila Siku mwezi wa Februari. Utasoma kitabu cha Isaya na Zaburi. Utapata pia maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa na kutafakari Neno ulilosoma. Isipokuwa imeandikwa vinginevyo, nukuu zote za Biblia katika mpango huu zimechukuliwa kutoka katika Swahili Union Version (SUV).