← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 9:3

Imani Juu Ya Hofu
26 Siku
Majira ya Maajilio yanatualika kuandaa mioyo yetu kwa ajili ya kuja kwa Yesu, si kwa sherehe tu bali pia kwa tafakari. Katika simulizi ya Krismasi, hofu ni dhima inayojirudia: hekaluni, kwenye ndoto, milimani na hata kwenye nyumba za utulivu. Lakini kila mara, Mungu hatoi hukumu bali anatupa hakikisho: 'Usiogope.' Katika tafakari fupi fupi za mfululizo huu, tunachunguza jinsi kuchagua imani badala ya hofu kunavyotusaidia kumkaribisha Yesu kwa kina zaidi katika maisha yetu.