Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 1
Yohana
Siku 10
Mpango huu rahisi utakuongoza kupitia njia ya Injili kulingana na Yohana kuanzia mwanzo hadi mwisho
BibleProject | Vitabu vya Yohana
Siku 25
Mpango huu unakuwezesha kupanua uelewa wako wa vitabu vya Yohana katika kipindi cha siku 25. Kila kitabu kinajumuisha video iliyotayarishwa kwa lengo mahususi la kuboresha uelewa wako na ushiriki wako katika kusoma Neno la Mungu.
Tusome Biblia Pamoja ( Octoba)
Siku 31
Sehemu ya 10 kati ya mfululizo wenye sehemu 12 katika mpango huu unaziongoza jamii kuipitia Biblia nzima katika siku 365. Wakaribishe wengine kujumuika nawe kila mara unapoanza sehumu mpya kila mwezi. Mfululizo huu unaendana vyema na Biblia ya kusikiliza - sikiza kwa chini ya dakika 20 kwa siku. Kila sehemu inajumuisha sura kutoka agano la kale na agano jipya, pamoja na mgawanyiko wa Zaburi Sehemu ya 10 inavihusisha vitabu vya Mhubiri, Yona, Yeremia na Maombolezi