Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 3:17
MWANGA Kuvutiwa Maishani Na Mwanga Ajabu Wa Mungu
5 siku
Kila siku unaposoma, angazia, na utekeleze Neno la Mungu kwa maisha yako, utakuwa na uwezo zaidi wa kutambua miangaza bandia ya adui, bakia kwa njia iliyo angaziwa na Mungu, na ung’ae kwa mwangaza mkali kwa ajili ya Kristo, jamaa yako na jamii.
Mbona Mungu ananipenda?
Siku 5
Maswali: Ikija kwa Mungu, tuna maswali mengi sana. Kwa sababu ya tamaduni zetu, swali moja ambalo tutajipata tukijiuliza ni, "Mbona Mungu ananipenda?" au "Ni vipi atanipenda?" Mpango huu unashirikisha jumla ya vifungu 26 vya Biblia—Kila kifungu kikiongea juu ya upendo wa Mungu usiokuwa na shaka.
Hadithi ya Krismasi
Siku 5
Hadithi ya kuzaliwa kwa Kristo ni muhimu kwa sherehe yetu ya Krismasi. Mpango huu kusoma Mambo ya nyakati umeanza wa mkombozi dunia alikuwa akitarajia kwa karne nyingi. Hii fupi mkusanyiko wa masomo unajumuisha sisi kuwasili kwa Emmanuel, Mungu ambaye ni mmoja wetu.
Uamuzi Mkubwa Zaidi wa Maisha Yako!
Siku 6
Maamuzi mengi katika maisha huwa na athari fulani. Hata hivyo, ni uamuzi mmoja tu ndio muhimu zaidi. Kama unatafuta maelekezo rahisi ya kukuwezesha kuelewa kwa undani juu ya uamuzi huu wa ajabu – zawadi ya bure ya wokovu ya Mungu - basi anzia hapa. Imechukuliwa kutoka kitabu kiitwacho, “Nje ya Dunia Hii: Mwongozo wa Kikristo katika Kukua na Kusudi ” kilichoandikwa na David J. Swandt
Bibilia Ya Watoto
Siku 7
Je! Yote ilianzaje? Tulikuja wapi? Kwa nini kuna mateso mengi duniani? Je! Kuna tumaini? Je! Kuna uzima baada ya kifo? Pata majibu unaposoma historia hii ya kweli ya ulimwengu.
Ishi kwa Nguvu na Ujasiri!
Siku 8
Hauko peke yako. Uwe na siku 1 au miaka 30 katika imani yako ya Kikristo, ukweli huu unasimama thabiti kwa changamoto zote za maisha. Jifunze jinsi ya kukaribisha msaada wa Mungu kwa ufanisi katika mpango huu. Imechukuliwa kutoka kitabu kiitwacho, “Nje ya Dunia Hii: Mwongozo wa Kikristo Kwa Ukuaji na Kusudi” na David J. Swandt
Soma Biblia Kila Siku 1
Siku 31
Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.
Soma Biblia Kila Siku JANUARI/2023
Siku 31
Soma Biblia Kila Siku Januari/2023 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Januari pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Mithali, Yohana na Malaki. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure