← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 6:45
BibleProject | Ufalme Unaoenda Kinyume na Matarijio / Sehemu ya 1 - Luka
Siku 20
Shirika la BibleProject liliandaa mwongozo wa Ufalme Unaoenda Kinyume na Matarijio Sehemu ya 1 kuwahimiza watu binafsi, vikundi vidogo na familia kusoma kitabu chote cha Luka kwa siku 20. Mwongozo huu unajumuisha video za katuni, muhtasari wa uchambuzi na maswali ya kutafakari ili kuwasaidia wahusika kumfahamu Yesu na kufuatilia mtiririko wa mawazo ya Luka pamoja na kuyaelewa mafunzo yake.