← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 7:50

Njia
13 Siku
Watu wengine hugundua ukweli mkubwa wa kiroho kwa bahati na wengine hutumia maisha yao yote wakitafuta. Labda ulikutana na mtu au kitu ambacho kilikuchochea kuvutiwa na kuchunguza masuala ya kiroho. Au labda umekuwa ukitafuta kwa muda mrefu kitu ambacho kinabadilisha maisha kwa kweli. Mpango huu wa usomaji ni mwaliko rahisi wa kuzingatia maisha ambayo Yesu anataka kukupa.

Soma Biblia Kila Siku 3 - 2026
31 Siku
Karibu katika mpango huu wa Soma Biblia Kila Siku mwezi wa Machi. Utasoma kitabu cha Luka na Walawi. Utapata pia maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa na kutafakari Neno ulilosoma. Isipokuwa imeandikwa vinginevyo, nukuu zote za Biblia katika mpango huu zimechukuliwa kutoka katika Swahili Union Version (SUV).