← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 27
Matayo
Siku 14
Mpango huu rahisi itakuongoza ndani ya Injili iliyo andikwa na Matayo kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Injili
Siku 30
Mpango huu, umeundwa na kupewa na jamaa za YouVersion.com, itakusaidia kusoma injili zote ine katika siku thelathini. Kua na ufahamu halisi kuhusu maisha ya Yesu na huduma kwa muda mchache.
Tusome Biblia Pamoja (Aprili)
Siku 30
Sehemu ya 4 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia nzima pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya kazi vyema na Biblia sikilizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kila siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano Jipya na Agano la Kale, na Zaburi ikiwa imetawanyika kote. Sehemu ya 4 inajumuisha vitabu vya Mathayo na Yakubu.