← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 7:11

Siku Sita Za Majina Ya Mungu
Siku 6
Kutoka kwa majina mengi aliyo nayo Mungu, Yeye ametufunulia vipengele vya tabia yake na asili yake. Zaidi ya majina haya ya Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, Biblia inaonyesha majina zaidi ya 80 tofauti ya Mungu. Hapa kuna majina sita na maana zake ili kumsaidia muumini kumkaribia Mungu Mmoja wa Kweli. Hii ni dondoo kutoka kwa kitabu cha Uzoefu wa Nguvu ya Majina ya Mungu: Ibada itoayo Maisha ya Kuishi na Dk. Tony Evans.