← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 1

Marko
Siku 8
Mangu huu rahisi utakuongoza ndani ya kitabu cha Injili iliyo andikwa na Marko kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Tusome Biblia Pamoja (Julai)
Siku 31
Sehemu ya 7 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia yote pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge nawe kila wakati unapoaza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya vyema na Biblia sikizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kila siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano la Kale na Agano Jipya, pamoja na Zaburi ikiwa imetawanyika kote kote. Sehemu ya saba inajumuisha vitabu vya Samueli wa Pili, Wafalme wa Kwanza na wa Pili na Mariko.