← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 14:37
Maombi ya Yesu
Siku 5
Tunatambua umuhimu wa mawasiliano katika uhusiano, na uhusiano wetu na Mungu sio tofauti. Mungu anataka tuwasiliane naye kwa maombi—Kitu ambacho hata mwanawe, Yesu Kristo alifanya. Katika mpango huu, utajifunza kutoka kwa mfano wa Yesu, na utapewa changamoto ya kutoka katika shughuli nyingi za maisha na ujionee nguvu na mwongozo maombi hutoa.