← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 6:46
Yesu Mwalimu Wetu
Siku 3
Wewe unaenda wapi kujifunza jinsi ya kuwa mtu bora au kushinda changamoto? Wewe unamtafuta nani akufunze lilo bora au jinsi ya kufanya maamuzi sahihi? Je! Unakwenda kwenye magazeti? Mtandao wa kijamii ya YouTube? Tony Evans anashiriki kuhusu Mtu Mkuu zaidi jinsi aweza kukufundisha kuhusu maisha naye ni Yesu Kristo. Hebu tuchunguze jinsi Mpaji wa uzima pia ni Mwalimu wa maisha.