Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 2:7
Hekima Ya Kiroho
Siku 3
Safari zetu katika maisha mara nyingi zinaweza kuhisi kama barabara nyembamba, yenye hila. Hekima ya kiroho ni njia ya Mungu ya kushughulikia safari yetu ya maisha iliyopinda pinda, na isiyonyoofu. Mpango huu wa siku tatu wa Dk. Tony Evans utakuambia hatua za kufikia na kupata hekima hiyo ya kiroho.
Hekima
Siku 12
Maandiko yanatupa changamoto ya kutafuta hekima juu ya yote Katika mpango huu, utapata fursa ya kusoma mistari ya Biblia kila siku inayohusiana na Hekima - Ni nini, Kwa nini ni muhimu na jinsi ya kuiendeleza.
Mpango Bora wa Kusoma
Siku 28
unajisihisi umezidiwa, kutoridhika, na kukwama maishani? Je unatamani maisha yako ya kila siku yaboreke? Neno la Mungu ni mwongozo kwa siku njema. Katika mpango huu wa siku 28, utagundua njia kutoka kuishi tu maisha mema, hadi kuishi maisha mema ambayo Mungu amekutazamia.